KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,352
.
Inglishi hiyo Kuwa makini.....kwani kiswahili kina tatizo gani?..nikamu award married...!
Nimekusikia toa na uzoefu wako...!Inglishi hiyo Kuwa makini.....kwani kiswahili kina tatizo gani?..
Wasalaam alaaiquu...!
Naomba kwa wale wenye ushuhuda juu ya hili; kwa aliyekutana na mke wake, mchumba au ata rafiki wa kweli ili kuweza kubadilisha dhana potofu juu ya uhusiano wa kwenye mitandao.
Binafsi sasa hivi nina uhusiano wa watu 2 kutoka mitandao ya kijamii tofauti ingawa naenda nao kificho huku nikifanya uchunguzi wa karibu ili mmoja wao nikamu award married...!
Ni wastaarabu sana na wana maadili ya hali ya juu mpaka nachanganyikiwa yupi nimwache shida ni mtazamo wa jamii juu ya social networks ila siyo kwamba mahusiano hayawezekani.
Mkuu mimi sicheat it happened tu incident hii ina kitu nyuma yake, mpaka naongea sijawahi kusex na mmoja wao, ila tuna uhusiano wa karibu mno we are showing real love to each of us, ingawa mimi napata shida sana kuwacontrol wasijue maana najua nikisex nao akiachwa mmoja atalaum mno mpaka ntafanya hivyo nikisha fanya uchaguzi..! Napata changamoto kukwepa kusex nao but ni ngumu kugawa hisia.Mkuu we mbona ndio umetupa ushahidi wa kutosha kwamba kuna wadanganyifu na cheaters kama wewe.......
Hata wasiopo ktk mitandao unaeza kuta at one point walikuwa loose sana kwa wanaokutana nao barabarani,kitaa ama shule. Mahusiano na mtu ambae hamjalelewa wote you have to agree with the odds na fear of the unknown usiweke. Wee date na kama mki click just marry mana kwa dunia ya sasa kila mtu amekula utoto ama ujana, tofauti ni tunazidiana kiwango na hilo huezi kulijua maana hamna ataesema alikuwa na msururu wa wapenzi.
*hata malaya alikuwa bikra na bibi alikuwa binti at a time.