NAkuona ma ww hujielewi hivi inakuaje mtu hukuonana nae kwa muda then amepatafuta unapo kaa amepafaham harafu ghafla unawasiliana nae tena unampa na sim anataka uweke loudspeaher unapoongea na cm,na mpaka unazoeana nae tena ulianzaje mtu alikuzalisha na hakuwa na mpango na ww?usitufanye wajinga bwana ww huyo unampenda ss unataka kutuchonganisha bure,ww linywe yuu limalize mwenyeweHabari za kazi wanajamvi,
Niliwahi kuomba ushauri hapa,nashuuru nilifanikiwa.
Kuna tatizo limetokea tena kwa huyu mzazi mwenzangu, aliomba awe anakuja kumuona mtoto binafsi sikuafikiana nae na sikuwahi kumuosha ninapoishi amepatafuta mpaka amepapata.
Ameibuka anadai anataka tuoane tulee mtoto, la tatizo mwenzangu sijui niseme wivu wa kijinga hataki niwe na namba za wafanyakazi wenzangu hata ndugu zangu asiowajua ni matatizo hajawi kuja kujitambulisha kwa ndugu zangu na wala hawajui.
Nikipigiwa simu anafoka weka loudpeaker kila wakati anakagua simu ila ya kwake hakuna kushika na anataka nibadilishe line na nilishamwambia simtaki hanielewi.
Ninakofanya kazi nimepata mkopo mungu amenisimamia nimeanzisha biashara na pia mwanangu nampa matunzo bila shida hatumuombi chochote ndio maneno eti nina kiburi,na anataka niwe nampa pesa yeye kazi hana na mie siwezi kumpa.
Naombeni ushauri nifanye nini sina raha mpaka ananitishia maisha
Natamani na yeye angekuelezea ulivyo ili nishauri kwa haki.
^^
Pole sana dada yangu, wanaume (japo sio wote ila ni wengi) sijui tumekula maharage ya wapi? Tumekuwa watu wa kuzalisha na kukimbia majukumu. Kina dada wanajitahidi kutulelea watoto Lakini choko choko haziishi. Nakushauri jitahidi kila unapoongea nae onyesha unamaanisha kile unachosema (hata kwa body language). Vinginevyo dawati la jinsia linamhusu.
Akikusumbua sana muitie polisi