si kweli, kumbuka kuna watu wanahangaikia kuendesha familia zao,ada za watoto,kodi za nyumba, chakula nyumbani,wazazi, wadogo zake nk. sasa ukisema asilimia kubwa wanatafuta pesa kwa ajili hio sidhani kama ni kweli.labda kwa hawa vijana ambao wapo kwa wazazi au ndugu zao, wasio kuwa na majukumu labda hela zao wanatafuta kwa ajili hio.