naomba ushauri

naomba ushauri

mwita mohere

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
23
Reaction score
1
mimi nina mchumba wangu nmpenda xna lakin nna chllenge moja hataki tufanye mapenzi andai yeye ni bikra nkfanya nae ntamfundsha vbaya lkn mi na wacwac cyaamin mawzo hayo ht hvo mi nko mbli nae bc ikbd nkubliane nae bado nnxfri ndefu nkweli ncfnye mpenz nae nshaur jmn
 
Msklize, ila pia ukiwa kwenye mahusiano inabidi ujifunze kumuamini mpenzi wako hata kama kuna changamoto nyingi mnazoptia, ikiwemo hyo ya wewe kuwa nae mbal!!
 
mimi nina mchumba wangu nmpenda xna lakin nna chllenge moja hataki tufanye mapenzi andai yeye ni bikra nkfanya nae ntamfundsha vbaya lkn mi na wacwac cyaamin mawzo hayo ht hvo mi nko mbli nae bc ikbd nkubliane nae bado nnxfri ndefu nkweli ncfnye mpenz nae nshaur jmn

mwee sasa tukushauri nini??
halafu dogo andika vizuri basii
 
Pole tata mohere, nenda naye taratibu ipo siku mtaongea lugha moja kama kweli mnapendana kwa dhati.

Kama safari bado ni ndefu anaweza kuwa na sababu, lakini naamini ni kwa muda tu mtaelewana.

Aidha pia sijui umri wenu wote, maana hilo nalo laweza kuwa tatizo
 
mchumba wako safi sana....wee kwa nini unataka kumbikiri mtoto mzuri? kaa nae utakuja kula tunda baadae kaka
 
Kwani wewe dini gani ambayo inaruhusu mapenzi kabla ya ndoa?
 
mimi nina mchumba wangu nmpenda xna lakin nna chllenge moja hataki tufanye mapenzi andai yeye ni bikra nkfanya nae ntamfundsha vbaya lkn mi na wacwac cyaamin mawzo hayo ht hvo mi nko mbli nae bc ikbd nkubliane nae bado nnxfri ndefu nkweli ncfnye mpenz nae nshaur jmn

Kwani wewe dini gani ambayo inaruhusu mapenzi kabla ya ndoa?
 
mimi nina mchumba wangu nmpenda xna lakin nna chllenge moja hataki tufanye mapenzi andai yeye ni bikra nkfanya nae ntamfundsha vbaya lkn mi na wacwac cyaamin mawzo hayo ht hvo mi nko mbli nae bc ikbd nkubliane nae bado nnxfri ndefu nkweli ncfnye mpenz nae nshaur jmn

Acha usharobaro dogo andika vizuri watu wakuelewe.
 
asante kwa ushaur wenu kunay maswal eulizwa mi nina miaka 26 na elimu yangu ni gradute finance from ifm na yeye 22 yey kmaliza tu form four sorry kwa wale ambao hawajaupata vizur ntajtahidi kuimprove endelea kunipa ushauri
 
Vuta subira, akishatolewa bikra na mtu mwingine atakuwa na ujasiri wa ku-do na wewe. Usiwe na haraka, kuwa mvumilivu kwenye kusubiri.
 
Hahaha...
Kwa namna ulivyoandika tu nina wasiwasi kuwa u mdogo sana kiumri na ubongo wako u ngali kupevuka.
Ni hivi bwana mdogo, kipendacho roho hula nyama mbichi.
Hadi sasa sijaona sababu haswa inayokufanya ung'ang'anie kufanya ngono na mpenzio.
Je ni kwa kuwa huamini kama ni bikira?
Je ni kwamba unahitaji kuwa na mwanamke bikira?
Pia naomba ujiulize swali moja, je kama huyo mwanadada sio bikira unadhani bado utaendelea kumpenda kama umpendavyo sasa?
Kama jibu ni NDIO basi huna sababu ya kutaka kujua hali yake, na kama ni SIO kwa nini usiachane naye.

mimi nina mchumba wangu nmpenda xna lakin nna chllenge moja hataki tufanye mapenzi andai yeye ni bikra nkfanya nae ntamfundsha vbaya lkn mi na wacwac cyaamin mawzo hayo ht hvo mi nko mbli nae bc ikbd nkubliane nae bado nnxfri ndefu nkweli ncfnye mpenz nae nshaur jmn
 
mimi nina mchumba wangu nmpenda xna lakin nna chllenge moja hataki tufanye mapenzi andai yeye ni bikra nkfanya nae ntamfundsha vbaya lkn mi na wacwac cyaamin mawzo hayo ht hvo mi nko mbli nae bc ikbd nkubliane nae bado nnxfri ndefu nkweli ncfnye mpenz nae nshaur jmn

Sijapenda hivyo vifupisho ulivyotumia, vinakosesha hamu ya kusoma mada. je, ulikuwa na haraka sana?mbina nafasi ya kuandika ni kubwa?
 
nenda kwenye biblia utafte maana ya neno iman zen uje humu ndan
 
mimi nina mchumba wangu nmpenda xna lakin nna chllenge moja hataki tufanye mapenzi andai yeye ni bikra nkfanya nae ntamfundsha vbaya lkn mi na wacwac cyaamin mawzo hayo ht hvo mi nko mbli nae bc ikbd nkubliane nae bado nnxfri ndefu nkweli ncfnye mpenz nae nshaur jmn

Mwita inawezekana kuongea kiswahili fasaha ni shida basi hata KUANDIKA pia???? Kie kie kie . By the way kachumbie uoe acha mambo ya shortcut.

Sent from my EyePhone
 
nashukuru kwa jisi mnavyo nishauri kuhusu mwanko nakiri mefanya kosa ila sta rudia hivi niulize ni kweli yeye uko sahihi mi nsifanye nae mapenzi hofu yangu mo ni hivi ikitokea akabikiriwa na mtu mwingine hapo changu sina na momi naamin hakika ni bikra kwani nimekaa nae nafahamu tabiya yake vizuri mno
 
Back
Top Bottom