Naomba ushauri

endelea na huyo uliyenaye sasa, huyo mwingine asikuchanganye mbona alikukataa mwanzo ameona yameharibika anarudi..
 
Grow some hair and then come back...labda nitakushauri!!!
 
jf kuna ma autocorrect mpk wanatamani wangekuwa kwenye simu, hata ushauri hawatoi ni kucorrect grammer tu hahahaaa,

mtu akiandika mxhizi, utaona; did u mean "mchizi"
 
jf kuna ma autocorrect mpk wanatamani wangekuwa kwenye simu, hata ushauri hawatoi ni kucorrect grammer tu hahahaaa,

mtu akiandika mxhizi, utaona; did u mean "mchizi"

Unaweza kujibu swali ambalo haujalielewa?
 
mijitu mingine haitoi ushauri kazi ni kuwakorekti wenzao yn wanachoshakweli
 
Kuna vitu ambavo hutakiwi kuomba ushauri Kama haya mambo! Mtu alikuacha sasa anataka tena umebadilika nini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…