sasha itelewe
Member
- Aug 30, 2013
- 81
- 78
Well saidBachelor of science with education,
Huo ni ualimu wa masomo ya sayansi, hawez kosa chuo,
Kama hapend ualimu basi, ajiandae
Ufamasi, biology Hamna sasa hapo mzeeVipi kuhusu Diploma ya Ufamasia au Mionzi ?Wakati mwingine ni vizuri kuwa na elimu ndogo ila yenye manufaa kuliko kubwa ambayo haina uhakika
Mnaweza pia kuliweka miongoni mwa options zenu mkajadili zaidi mama yangu.
Ufamasi, biology Hamna sasa hapo mzee