Susy huo ni utaratibu ambao upo kisheria...lakini sio kwamba wakifikisha miaka 7 tu basi baba ndio ana haki ya kuchukua watoto na mama hana haki...HAPANA! Mahakama huwa inaangalia mchango wa malezi ya mtoto/watoto katika miaka hiyo 7, kama baba halikuwa hajali wala hatoi hela za malezi, basi mama bado yuko kwenye nafasi kubwa sana ya kupewa full 'custody' ya watoto hao. Pia, baba ana haki ya kuwa na wanawe kisheria...lakini sio kuwachukua na kuishi nao bila mahakama kujiridhisha kuwa baba atawajali hao watoto.
From the story you gave my sister, I dont see that man taking your children away from you...labda kinguvu, kimila, lakini sio kisheria! Ila uwe makini, ugomvi wako na ex-mwenza wako kuhusu watoto unaweza ukakuharibia uhusiano wako na mumeo mpya. Endelea kumomba mungu wako, mshirikishe mumeo mpya kila atua aone ni jambo linalomhusu pia...and relax, huwezi pokonywa wanao kisheria!
Nina ndugu yangu alipigania watoto wake wawili hivohivo na mapaka sasa anao tamwa ni mwisho wa matatizo, huyo anataka tu kukukomoa na wivu pia, unafikiri wanapotuacha hawatupendi? hapo kashaona wivu fulani hivi kuona umeshapata mwandani wako na unaishi kwa amani, wanaume wengine wanapenda wakiachana na wake zao wapate shida sana wao ndio furaha. embu jiulize, kwa nini hakuwataka hao watoto kabla hujaolewa? Yaaani hayo maelezo ukieleza tu tamwa wala hana chake.na bado atabanwa awe analeta pesa za matumizi. na hiyo nyumba anayokaa itauzwa au itapangishwa watoto wapate pesa zao za shule
Asante RIWA kwa ushauri , ila ninawasiwasi pia hata mm kuhusu ndoa niliyonayo, maana kwa sasa ananisaidia je akichoka ? sasa hayo ndiyo yanayoniogopesha sana na sielewi ni kwa nn wanaume hawapendi kumuona x wake anamaendeleo yeye anataka akimwacha mwanamke ateseke mpk. na huwa wanasahau kuwa wao si Mungu.
watoto wana umri gani mdada?
watoto wana umri gani mdada?
Susy huo ni utaratibu ambao upo kisheria...lakini sio kwamba wakifikisha miaka 7 tu basi baba ndio ana haki ya kuchukua watoto na mama hana haki...HAPANA! Mahakama huwa inaangalia mchango wa malezi ya mtoto/watoto katika miaka hiyo 7, kama baba halikuwa hajali wala hatoi hela za malezi, basi mama bado yuko kwenye nafasi kubwa sana ya kupewa full 'custody' ya watoto hao. Pia, baba ana haki ya kuwa na wanawe kisheria...lakini sio kuwachukua na kuishi nao bila mahakama kujiridhisha kuwa baba atawajali hao watoto.
From the story you gave my sister, I dont see that man taking your children away from you...labda kinguvu, kimila, lakini sio kisheria! Ila uwe makini, ugomvi wako na ex-mwenza wako kuhusu watoto unaweza ukakuharibia uhusiano wako na mumeo mpya. Endelea kumomba mungu wako, mshirikishe mumeo mpya kila atua aone ni jambo linalomhusu pia...and relax, huwezi pokonywa wanao kisheria!
Hata mimi natamani kujua hilo.
halafu dada simama kwa miguu yako,
Neema ya Mungu inakutosha kabisaaa.
Mi naona anachotafuta huyo mshamba ni kukuharibia ndoa yako ya sasa tu,
Hana lolote, na Ashinde kabisa na alegeeeeeeeeee!!!!!
Kama wengine wanavyosema hapo juu, Sheria ipo,
Tena muache yeye awahi mahakamani, asipojikamatisha mwenyewe.
Tulia, mshirikishe Mume wako, na wazazi wako, na marafiki wale unaowamini,
na wenye uwezo wa kukusaidia kwa namna yoyote ile kuhusu hilo.
Utaona mwenyewe kiburi chake kinamuisha. Hana lilote wala usimuogope,
Hebu muone kama CRAP. Dah mi mtu aliyeniharibia maisha yangu bwana,
Simama songa mbele, huyo anayemuona mwanamke si akae naye, amzalie watoto.
Kwani leo hao watoto wamebadilika nini, hadi ajifanye anawapenda. Fukuzia mbali,
Kwanza una roho manake sidhani hata kama ningekutana naye, labda akiwepo mume wangu,
na watu wengine, lakini sio peke yetu. SIO SIRI NAWACHUKIA WANAUME WA HIVI.
Wakati ukifika watoto watamjua baba yao ni huyu, na wataaamua, kwa akili zao.
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Tena ana roho ya ajabu mimi asingepata nafasi ya kuzungumza na mimi tungekutana huko huko mahakamani natamani kama iyo kesi ingekua yangu yaani dada umewatunza watoto muda wote peke yako na bado unao uwezo unaanza kutishwa na hiyo CRAP ngoja niishie hapaHata mimi natamani kujua hilo.
halafu dada simama kwa miguu yako,
Neema ya Mungu inakutosha kabisaaa.
Mi naona anachotafuta huyo mshamba ni kukuharibia ndoa yako ya sasa tu,
Hana lolote, na Ashinde kabisa na alegeeeeeeeeee!!!!!
Kama wengine wanavyosema hapo juu, Sheria ipo,
Tena muache yeye awahi mahakamani, asipojikamatisha mwenyewe.
Tulia, mshirikishe Mume wako, na wazazi wako, na marafiki wale unaowamini,
na wenye uwezo wa kukusaidia kwa namna yoyote ile kuhusu hilo.
Utaona mwenyewe kiburi chake kinamuisha. Hana lilote wala usimuogope,
Hebu muone kama CRAP. Dah mi mtu aliyeniharibia maisha yangu bwana,
Simama songa mbele, huyo anayemuona mwanamke si akae naye, amzalie watoto.
Kwani leo hao watoto wamebadilika nini, hadi ajifanye anawapenda. Fukuzia mbali,
Kwanza una roho manake sidhani hata kama ningekutana naye, labda akiwepo mume wangu,
na watu wengine, lakini sio peke yetu. SIO SIRI NAWACHUKIA WANAUME WA HIVI.
Wakati ukifika watoto watamjua baba yao ni huyu, na wataaamua, kwa akili zao.
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Mwehu tu huyo anahaha huyo mkewe hana kizazi? si alimuona wa maana mpaka akakutoa ndani Mungu huyu tunayemuabudu na huwa anawapa pigo watu wasio na utu kama hawa. Hivi mwanaume mwenye akili atampita x na mtoto wake bila kujua hali yake? ushamba tu unamsumbua. Usiwatoe watoto wako wakaanze kwenda kuishi kama wakiwa wakati wewe upo. kama alishindwa kuwaonyesha mapenzi hapo nyuma mlipoachana atawapenda sasa hivi kweli? si ndio atawanyanyasa mpaka basi.
Lisa na hao watoto wa mzee vipi wana access na mama yao? mama yao mnaelewana ? binafsi naona watu kama wameachana bado ni muhimu watoto wawe na access na wazazi wao wote wawili.Jaribuni kupata namna nzuri ya watoto kuwa wanakutana na baba yao,wanamhitaji pia hata kama alikunyanyasa maana hayo ni ya kwako na yeye na si ya watoto,kwao yeye ni baba tu.Ikibidi jenga pia mawasiliano na mkewe ili watoto wakienda kumsalimia baba yao uweze kuwa unapiga simu na kuongea nao.By the way kitu gani kinakufanya uone kwamba watoto wakiishi na baba yao watakuwa machangu?mbona kuna mababa wengi tu single fathers na wanalea vizuri watoto wao?