Naomba ushauri

Naomba ushauri

Joined
Nov 21, 2016
Posts
4
Reaction score
2
Naombeni ushauri wenu nimechaguliwa kufanya bachelor degree ya accounting and transport finance je hii kozi ipoje yani ajira, kila kitu wadau naombeni ushauri wenu
 
Hii kozi mpya nadhani ata graduates hawapo mtaani ila hapo juwa unasoma accounting tu maana hao transport finance hawajulikani ni wapi mnapiga kazi
 
Back
Top Bottom