Pengine kule aliandika 42 ili kumzungua mleta hoja,huku ndiyo kasema ukweli wake.
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Mmmh!!! mbona kuna mahali nimeona umeandika una miaka 42???
Unaikumbuka hii post # 38?
Sosi: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/571722-natafuta-nataka-kampani-2.html
tatizo la kutozaliwa tz wala kuishi huko. hahahahaha!!
Nina umri 36yrs
Mmmh!!! mbona kuna mahali nimeona umeandika una miaka 42???
Unaikumbuka hii post # 38?
Sosi: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/571722-natafuta-nataka-kampani-2.html