Naomba ushauri wenu wanajamii

Clara John

Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Habari zenu. mwenzenu ninabwana nampenda sana kiumri ana miaka 55 na yeye ananipenda kupita maelezo lakini kuna tatizo moja ambalo kidogo huwa linanirudisha nyuma pale kwenyekunanihiliu dakika moja tu keshamaliza namimi ananiacha nikiwa na hali mbaya hata nimfanye vipi spika haifanyi kazi je nifanyeje najitahidi sana kumpa supu ya pweza ngisi maziwa kwa tende alau tu na mie anifikishe safari yangu nifanyeje wajameni?
 
Kiswahili kinakupa shida huyu ni mpenzi wangu si mume wa ndoa
 
Ngono ni sehemu ndogo sana ya mapenzi inayowezwa kuvumiliwa kutokuwepo kwake upatapo umpendaye kwa dhati.
 
Ngono ni sehemu ndogo sana ya mapenzi inayowezwa kuvumiliwa kutokuwepo kwake upatapo umpendaye kwa dhati.

aisee kama huko nyuma alikua ana mtu anamkuna vilivyo kuvumilia hapa pa sasa ni vigumu..anyway jamaa ajitahidi kufanya mazoezi...
 
unaenda mbagala,gari la tandika la nini sasa?
 
ebu jaribu kumpa tigo kidogo lazima atafufuka tuu
 
'Kwa fimbo aliyochapwa na mkuu wetu Watu8...huyu harudi!!!

Pengine kule aliandika 42 ili kumzungua mleta hoja,huku ndiyo kasema ukweli wake.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Pengine kule aliandika 42 ili kumzungua mleta hoja,huku ndiyo kasema ukweli wake.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

akijitetea kwa style hii kidogo wadau watamuelewa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…