Acha utoto wewe,unacheza na mwanaume eeh..ubebe mimba kesho unakuja kulia hapa,amenipa mimba na kunitelekeza,
jaribu kufikiri japo mile moja mbele.
Watoto wanaolelewa na single mother wanaishi ndiyo ila usilazimishe mwanao akue katika mazingira hayo,jifikirie japo kidogo.