HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,144 Apr 22, 2014 #61 Asprin said: Mkuu hii thread ni ya mwaka 2012 na hivi sasa, mleta thread kashatangulia mbele ya haki. Tumwombee apumzike kwa amani. RIP Kanjunju. Naamini kifo chako hakina mkono wa mama mkwe. Click to expand... Apumzike kwa amani
Asprin said: Mkuu hii thread ni ya mwaka 2012 na hivi sasa, mleta thread kashatangulia mbele ya haki. Tumwombee apumzike kwa amani. RIP Kanjunju. Naamini kifo chako hakina mkono wa mama mkwe. Click to expand... Apumzike kwa amani
Sunshow JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,140 Reaction score 395 Apr 22, 2014 #62 Mmm kumbe wakati mwingine wazazi wanaona mbali? Najiuliza ni je aliolewa na huyo mchumba wake au la, kama hakuolewa nae basi utabiri wa mamamkwe ulikuwa sahihi. Pumzika kwa amani dada.
Mmm kumbe wakati mwingine wazazi wanaona mbali? Najiuliza ni je aliolewa na huyo mchumba wake au la, kama hakuolewa nae basi utabiri wa mamamkwe ulikuwa sahihi. Pumzika kwa amani dada.
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,073 Apr 22, 2014 #63 Asprin said: Mkuu hii thread ni ya mwaka 2012 na hivi sasa, mleta thread kashatangulia mbele ya haki. Tumwombee apumzike kwa amani. RIP Kanjunju. Naamini kifo chako hakina mkono wa mama mkwe. Click to expand... Mmmh jaman ni habar za kweli hizi? bas kama ndio hivyo mods wawe wanazifuta pindi wapatapi taarifa kama hizi
Asprin said: Mkuu hii thread ni ya mwaka 2012 na hivi sasa, mleta thread kashatangulia mbele ya haki. Tumwombee apumzike kwa amani. RIP Kanjunju. Naamini kifo chako hakina mkono wa mama mkwe. Click to expand... Mmmh jaman ni habar za kweli hizi? bas kama ndio hivyo mods wawe wanazifuta pindi wapatapi taarifa kama hizi