Naomba ushauri wakuu

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
17,563
Reaction score
20,609
Mimi Manjagata, ni mwajiriwa katika sekta binafsi natamani sana kuongeza kadigrii ka pili! Sasa nawaza kati ya hizi shahada in ipi itanifaa kwa kustafia hapo baadaye? Ya kwanza ni hii ya project planning and management inayotolewa na Mzumbe University kwa MASOMO ya jioni, ya pili ni MSc. Humanitarian Action, Cooperation and Development ya Open University. Mwenye mawazo chanya ayalete hapa wakuu!
 
Unataka ukaongeze digrii ya pili alafu unakuja kuomba ushauri jukwaa la kimataifa?
 
Unataka ukaongeze digrii ya pili alafu unakuja kuomba ushauri jukwaa la kimataifa?
Siyo makusudi mkuu ilijikoroga tu wakati naandika, lengo lilikuwa kuweka kwenye hoja mbali mbali! Naamini Mods kama siyo wazembe watafanya marekebisho! Lakini hata hivyo si na huku nako kuna watu? Sasa kwa vile were umeona ungetoa ushauri au sivyo pita kimya kimya!
 
FUTA NENO LA MWISHO KABISA KATIKA HII HABARI NDIPO NITAKUSHAURI.
 

KUOMBA USHAURI NI JAMBO JEMA ILA HUJATWAMBIA HUKO SEKTA BINAFSI UNASHUGHULIKA NA NINI NA UPO MKOA GANI.

YAFAA UANGALIE MALENGO YAKO NA FAIDA YA HIYO SHAHADA YA UZAMILI UNAYOTAKA KUISOMEA. KWA MFANO UNATAKA IKUFAEJE AU UNA MPANGO WA KUWA NANI HUKO MBELENI.
 
Asante mkuu! Niko NGO moja inayojihusisha na kusaidia jamii pamoja na Wakimbizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…