Alikuwa anakutega, alitaka umwambie "usiirudishe nimekupa tuu".[emoji13][emoji13][emoji13]
Kwanza na wewe unamkopeshaje mpenzi wako hela?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kweli !!Alikuwa anakutega, alitaka umwambie "usiirudishe nimekupa tuu".[emoji13][emoji13][emoji13]
Kwanza na wewe unamkopeshaje mpenzi wako hela?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama ulikuwa hutaki akurudishie si ungemwambia tu akurudishie baada ya miaka 50 ijayo hapo angeweza kujiongezaHello dear ladies/ gentlemen
Wadau niende kwenye point ni hivi,
Mpenzi wangu Leo ameniomba nimkopeshe pesa kwa ajili ya mambo yake binafsi nikamwambia sawa nitakupatia kiasi unachohitaji. Tatizo likaja anasema nimwambie kabisa ni lini anirudishie, nikamwambia hapana ucjal pindi utakapoipata utanirudushia usiwe na shaka, akasema haiwezekani niambie tu nijue ili nijipange kutafuta mapema ili nisibweteke nirudishe kwa mda. Bado msimamo wangu ukawa ni ucjal mda na siku yeyote ukipata utanipa
Tumebishana kwa hilo tu hali iliyofikia kunieleza nisimpe tena hela atatafuta kwingine eti tu sijasema ni lini anirudishie, binafsi nimemueleza sawa tafuta kwingine
Sasa wadau kwa maelezo hayo, hivi kweli kulikua na sababu ya kupishana na kutokuelewana kwa sababu hiyo kweli? Mimi nimeshangaa sasa na sijui kama kumpa uhuru ni vibaya?
Kwa maoni yenu ni sahihi nilichofanya? Ama sipo sahihi
Upuzi mwingine bwanaMkuu kama ulikuwa hutaki akurudishie si ungemwambia tu akurudishie baada ya miaka 50 ijayo hapo angeweza kujiongeza
mhgh Kuna Ukweli katika hili kweche kwecheHello dear ladies/ gentlemen