Waungwana za jioni.
niliomba kazi serikalini kupitia Tume ya ajira na leo wametoa majina ya kuita kazini nimepata.Tatzo wanasema barua ya kuripoti kwa mwajiri imetumwa kwenye address ya posta.
Address niliyotumia niliikosea na wala sijui ya nani.je kusudi nipate hyo barua nifanyeje?Ahsanteni.