naomba ushauri wako tafadhali.

Du, kama ni kupenda umependa inabid umvumilie. Inawezekana anakuambia ana wanne ila anakupima. Kama umekaa nae chumbani mara nyingi hujajua nyendo zake? Au sim anazima mkiwa pamoja?
 
Kaza Msuli kija ukiona kizakinaongezeka ujue kunapambazuka, kama ni msiba subiri mpaka utoe heshma ya mwisho.

Lakini Dogo ngoja nikukumbushe inaonekana somo la hesabu halipandi, kila jambo lazima hesabu zizingatiwe. Anyway siku akiingia geto jipange andika barua act kama vile unataka kujiua nakuonesha kuwa endapo utakufa yeye ndo atakaye toa maelezo ya ni nini kimekusibu. Then muoneshe kuwa kama hakupi mzigo hesabu za wewe kujiua ziko sahihi na huna cha kupoteza. Akichomoka hapo nitafute nikupe mbinu.
 

Kula tano mkuu...!
 
....wengine ni "niangusage beeh"....yaaani ukimtaka lazima utumie nguvu kwa kumwangusha chini ili upate kazi...vinginevyo itakuwa ni juma na roza mpaka utatia akili...!
 
Kama ulifanikiwa kula mate why ushindwe vingine, vile vile kama unamuona anataka kuweka mapozi na wewe jifanye mjanja maana la sivyo utaburuzwa vibaya sana maana hawa watu hawatabiriki kabisaaa so be careful anaweza kuwa na mwanaume mwingine ila akataka kukutumia tu...
 

kwa hiyo wote wanne anawapa mate teh! Teh! Chezeya wewe.
 
Weye zako unataka kula ukimbie mwenzio anapenda kweli ivo!!

haya kama anataka kupenda....ila apende panapo pendeka. huyo demu mbona dawa yake moja tuu. kumgegeda na kumuomba tigo na kumbwaga
 
haya kama anataka kupenda....ila apende panapo pendeka. huyo demu mbona dawa yake moja tuu. kumgegeda na kumuomba tigo na kumbwaga

huo ndo uamuz ntakaouchukua so soon. . . . . .for good.
 

Tafuta anayekupenda.
 
kaka, ngoja nikwambie kwenye mapenzi kuna kamchezo kanaitwa hide en seek- "kujificha na kuchungulia"yani uyo mdada kwa ufupi ana kuzingua na anajifanya ameshika remore control alafu wewe kakufanya tv anakubadilishia channel anapojiskia, ukiendelea nae kwa stail hiyo utakuja umizwa moyo zaidi hasa kwa kua kila siku zinavyoenda utazidi kumpenda na kujifunza kuvumilia hayo maumivu. kwa ushauri wangu unaweza kufanya hivi:1. Mimi nahisi yuko na mwanaume mwingine ambae kuna vitu anakosa kule so anahisi anaweza kuvipata kwako so anatamani agawe penzi kwenu nyote asa kwa uzoefu mwisho itakua maumivu vyema na wewe utafute dem uwe bize nae alafu utaona jinsi uyo dem atakavyo react its likely atakung'ang'ania maana ashazoea uko mwepesi sasa ataona kumbe anaweza kukukosa. 2. Achana nae kabisa maana ata akikubalia huyo hafai kuwa mke bora maana hana msimamo, maisha ya ndoa ni kama ligi ya ujerumani (bundes liga) ina mikiki mikiki so inaitaji couples sahihi, ndoa siyo mchezo inataka watu wenye msimamo uyo mdada atakuja pendwa na bosi wake wakati ushamuoa alafua atakucheshea sinema kama hiyo utaumia zaidi , achana nae . Mbona wazuri tena decent gals wapo kibao jipange mkuu.
 

thanks much mkuu.
 
Maisha simple 2.kama hataki achana nae coz unapoendelea kuwa nae urafiki atagundua udhaifu wako alafu atakudharau bila shaka utazidi kuumia.katika mapenzi kuna mambo mawili kupenda na kutopendwa yote kubali.usiwe mwenye mtazamo mmoja be flexible.
 
jiulize katika maisha kipi kilianza? bila shaka maisha ndio yalianza then mapenzi yaliftata.think abt u a life.mfano me nilipokuwa 1 year mapenzi yalinitesa sana ila kwa sasa naona kawaida 2.msicha akinipenda sawa akinikataa sawa yote maisha siwezi kuruhusu mapenzi yautese moyo wangu.
 
Duh!e bhana hyo manzi atakuzngua coz kma na hao masela wngne nao wnamtreat well then at the end of the day hajui yupi atakayemchagua that means anawz akaangkia kwa mwngne na ww ukawa umeptza mda wko bure so kma vp akpe jbu lnaloelwka bhana!
 
Duh!e bhana hyo manzi atakuzngua coz kma na hao masela wngne nao wnamtreat well then at the end of the day hajui yupi atakayemchagua that means anawz akaangkia kwa mwngne na ww ukawa umeptza mda wko bure so kma vp akpe jbu lnaloelwka bhana!

nimekuelewa vizur mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…