Heshimu maamuzi yake
nashukuru kwa ushauri wako neylu.Mwambie hivi, Kama hataki muwe wapenzi baaaasi.. Urafiki wa kawaida wewe huuwezi..! Simamia hapo hapo na mpotezee.. Kama anakupenda atajileta mwenyewe..!
Huyo rafiki yako anaonesha kabisa kuwa ana mtu na anaogopa kuanzisha uhusiano na wewe kwa kuhofia huyo aliyenaye anaweza kuja kujua ingawa inaonekana wazi kabisa kuwa anakupenda kwa kiasi fulani lakini kila akitaka kufanya uamuzi wa kuwa na wewe inashindikana kwani bado kuna vitu vinamfanya asiweze kuwa nawe.Jaribu siku moja kumwambia kuwa umempata mwanamke na unataka umfanye awe mwenzi wako,baada ya hapo mwangalie atasema nini.
Du!Mwenzako enzi zangu nikipata nafasi ya denda ujue ndio namaliza mchezo siku hiyo,ila kila mtu na utaalamu wake maana denda bila mpapaso wa kuleta haja bado huwa halinogi.
kivipi mkuu,si vibaya ukifafanua.
Kama umeweza kuvumilia kwa wakati wote huna budi kusubiria jibu lako,
maadamu ameshakwambia anakufikiria huna budi kusibiri kwani inavyoelekea jibu halitokuja baya,
maana kila kitu kina jidhihirisha wazi kwamba amekubaliana na wewe ila tu ni yalee
tunayoyaita mapozi/aibu katika kutoa jibu kwa wakati unaotakiwa.
Vuta subira kwani ukitaka kula vitu vizuri sharti uwe mvumilivu.
kumbe mapenzi ya chuon yanatesaga hata wasichana..nilifikiri ni wanaume tu..ebana eeh kuprocess viza tu UK haichukui wiki..sasa huyo jamaa kitu kidogo tu cha either kuwa na wewe au kutokua na wewe anajifikiria zaidi ya hata decion ya panel ya kutoa viza issue ni hii jamaaa..dizain ana mtu na pia anataka kua na wewe ila weight ime lie kwenye upande mwingine..huko..so kama vipi fanya kilichokupeleka chuo..mapenzi hayajengi nyumba wala kununua gari..etc..ova..ndugu mwana jf,matumaini yangu mko salama kabsa,naomba kusema yanayonisibu mwenzenu. . .nilitokea kumpenda sana classmate wangu chuoni,nikafanikiwa kumfanya awe rafiki yangu wa karibu sana,siku moja alikuja kucheki movie room tukawa peke yetu,kwa bahati mbaya au nzuri nilipata kumkiss,hapo akahoji kama nilikua na hisia naye ilibidi nimueleze ukweli kwamba nampenda sana,hakusema chochote akaondoka,lakini bado akaendelea kuwa karibu nami,kila nikihtaji mtu wa kuongea nae anakuwepo,hadi watu wakaanza kuhoji ukaribu wetu,siku moja aliniomba twende tukatembee jioni maeneo ya karibu na chuo,tulienda maeneo tukipiga stori za hapa na pale,alipenda sana kunihug,nikafanikiwa kula mate yake kwa mara nyingne,lakini nikimkumbushia kuhusu ombi langu akasema ana mtu,nikaamua kutulia kwanza,lakin bado akawa karibu nami sana,siku ya siku baada ya kuchat kwa muda mrefu akaniambia kwmba hana mtu na alinidanganya kuhusu hlo,pia akasema bdo hayupo tayari kuwa ktk mahusiano kw sasa so ikibidi nisubiri,kama kawaida yangu sipend kumlazimisha nikamwambia poa,tukiwa chuon napenda kwenda naye lunch,kumpa care ambyo kila mwanamke angewish kupewa,siku moja nikamuita geto aje tuongee,hakusita alikuja tena ndani ya muda,nilimuwekea movie ambyo aliwish kuiona siku moja ila alikua hajawahi,so alifurah sana,tulishnda wote tukala na kunywa pamoja,lakin kumueleza kuhusu mm na yeye,akaniambia yupo ktk wakati mgumu sana coz kuna wanaume km wanne wanahtaji kuwa naye na wanafanya kila nifanyacho mie,so anahtaji kufanya maamuzi sahih,so ikibd tuwe marafiki tu,kama kawaida nikambembeleza ila ndo vile,nikaona isiwe shda nikamwambia mengi ila pia ntasubiri,katika kumuhug kujaribu kumla mate,nikaona akarespond tena kashiriki vizuri,halaf baada ya hapo akaonyesha kujutia,so bdo yupo ktk msimamo wake. . . .ndugu mpendwa mwana jf,naomba ushauri wako,nimfanyie nini huyu asinitese hvi coz siwez kuwa rafiki yake wa kawaida,na kila saa akilini mwangu yupo yeye tu,pia sitaki kumforce kunichagua mimi.
Usiwe pweza kujipalilia moto mwenyewe, kama kakwambia yuko na mtu heshimu maamuzi yake,na isitoshe wewe mwanamme lazima ukubali kukataliwa, jaribu kukaambali nae jiweke busy na mpotezee atakufata mwenyewe au punguza
mawasiliano,kama akikutumia sms twende kula mwambie uko busy,akiku sms jibu baada ya masaa,wacha aone tofauti
akikuliza mwambie unaanza kufuatilia mrembo mmoja na usimtajie jina wala nini..uone reaction yake..
Weye zako unataka kula ukimbie mwenzio anapenda kweli ivo!!utoto huo wakujibu sms baada ya masaa. hapa nikusepa for gud basi hamna kujibu sms wa nini.
Kuna wanawake wengine huwezi kuwapata kwa kutaka wenyewe mpaka nguvu itumike kidogo,unadhani mwanamke mpaka anaingia chumbani,anakaa kitandani,anabusu na kubadilishana mate,bado tu hataki kumegwa?asante kwa ushauri wako,ila unanifanya nijutie kwanini sikumfanya nimalize mchezo,ila kiukweli nimeshafanya sana kama hvyo,ila kwa huyu nimejaribu kumfanya afanye kilakitu kwa moyo na kwa kupenda mwenyewe,sitaki kumtumia ila nataka kumfanya awe mpenzi wangu wa kweli.