jamani wadau nimejichangachanga nimepata milioni 10, na nataka kuagiza gari(Subaru forestara0 kutoka japan ya mwaka 2005 na cc 1999. je itatosha? naombeni ushauri wenu wadau. naatanguliza shukrani
jamani wadau nimejichangachanga nimepata milioni 10, na nataka kuagiza gari(Subaru forestara0 kutoka japan ya mwaka 2005 na cc 1999. je itatosha? naombeni ushauri wenu wadau. naatanguliza shukrani
Jaman nashukuru sana kwa michango yenu. Kuna nyingine ya subaru forestar mwaka 2002 cc 2000 na inauzwa $3449 cfi dar vp kwa milion 10 itafaa; jaman wadau naomba msinichoke plc
Kama sijakosea hiyo car ina2mia mafuta sana, ina cc zaidi ya 2000,kwa wewe wa kudunduliza haikufai. Ni gharama sana kuirun,nunua gari ndogo na yenye cc ndogo yenye 4wd,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.