Naomba ushauri wa kibiashara

kwaji

Senior Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
186
Reaction score
32
Nataka kufanya biashara na mtaji ni dola 8500 lakini mpaka sasa sijajua nifanye biashara gani naombeni ushauri
 
Fungua studio ya video production ya saizi ya kati upige dili za harusi, movie, music video etc
 
Ipeleke jukwaa la ujasiriamali Mkuu.Pia fanya upitie thread huko utapata kitu maana kuna thread nyingi sana za namna hii huko
 
Nikopeshe robo ya mtaji wako nitakulipa kwa riba baada ya mwezi mmoja,
 
Nataka kufanya biasha na mtaji ni dola 8500 lakini mpaka sasa sijajua nifanye biashara gani naombeni ushauri
mi nipo dom, kama uko vzr tuanzishe wedding planer na fashion. Kitu hii inalipa na dom hakuna!
 
Next time kabla ya kuwa na hela unatakiwa uwe na wazo la biashara itakusaidia zaidi maana hata hiyo dola 8500 uliyonayo ungeweza kuitumia nusu lakini ukija hapa na amount kila mtu atakuwa anakupa biashara zinazo-range hiyo amount kumbe kuna biashara zingine nzuri zaidi ambazo ungezifanya kwa hela chini ya hapo, xfactor amekushauri uende jukwaa la biashara huenda ukapata kitu pia tujenge tabia ya kuwa na mawazo ya kibiashara katika kipindi ambacho hatuna kitu hata siku utakapopata pesa unaleta idea zako angalau mbili au tatu alafu watu tunakusaidia kuzi-refine mwisho wa siku unatoka na kitu kizuri
 
Last edited by a moderator:

This is very true.umenikumbusha rafiki yangu mmoja wa siku nyingi,yeye alikuwa anafanya research ya biashara ya kufanya wakati tulikuwa tunajua hana hela,so tulivyo ona anafanya research tukajua mwenzetu kapata bingo ila yeye akatuambia kuwa hana hela ila anajiandaa siku akipata hela hatokosa cha kuifanyia hiyo hela.usisubiri upate hela ndio utafute idea,anza sasa kufanya uchunguzi kujua hasara na faida ili ukipata hela ibaki kutekeleza tu
 
Last edited by a moderator:
Huo ni ukweli mtu mkuu yaani ukiwa unafanya kitu chochote, wakati upo katika kipindi kigumu wewe ndio unaweka miundo mbinu sawa, hata kama unajenga design na marekebisho mbalimbali unakuwa nayo in advance pia unafanya consultation hivyo ukipata ela tu unafanya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…