T Tzgreatthinker New Member Joined Jun 28, 2018 Posts 2 Reaction score 0 Jul 13, 2018 #1 Habarini za jioni ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 22 nimesoma mpaka elimu ya chuo ila sijapata kazi nimejichanga kwa sasa nina kiasi cha milioni moja naombeni ushauri wa kibiashara maana nimechoka kuwaza peke yangu. NAOMBA KUWASILISHA
Habarini za jioni ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 22 nimesoma mpaka elimu ya chuo ila sijapata kazi nimejichanga kwa sasa nina kiasi cha milioni moja naombeni ushauri wa kibiashara maana nimechoka kuwaza peke yangu. NAOMBA KUWASILISHA
Dr Akili JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 5,313 Reaction score 4,751 Jul 14, 2018 #2 Biashara ya chips kuku. Inalipa.
T Tzgreatthinker New Member Joined Jun 28, 2018 Posts 2 Reaction score 0 Jul 14, 2018 Thread starter #3 Dr Akili said: Biashara ya chips kuku. Inalipa. Click to expand... Asante mkuu