Naomba ushauri uc browser kwenye simu yangu inafail kudownload

Naomba ushauri uc browser kwenye simu yangu inafail kudownload

Joined
Jun 17, 2014
Posts
17
Reaction score
8
Habar naomba msaada uc browser kwenye simu yangu nikidownload ikikaribia kumaliza inafail na kuandika retry na haijidownload tena msaada plz
IMG_20170208_175657.JPG
 
Msaada jamani wana JF samsung note edge na oppo f1 plus ipi mambo?
 
Habar naomba msaada uc browser kwenye simu yangu nikidownload ikikaribia kumaliza inafail na kuandika retry na haijidownload tena msaada plzView attachment 468574
Ndo zake hiyo...tafuta browser nyingine au hakikisha una latest version ya uc au pia kama kuna link tofaut ya hicho unacho download basi chagua link tofaut na unayo tumia.
 
Ndo zake hiyo...tafuta browser nyingine au hakikisha una latest version ya uc au pia kama kuna link tofaut ya hicho unacho download basi chagua link tofaut na unayo tumia.
Nshafnya ivo mkuu but hamna kitu
 
Uc sio kabisaa.network ikikata au salio likikata inafanya huo ujinga.tumia tubemate though vitu vingine hukuti lakn iko pouw.au tumia browser nyingine tofaut na uc mean
 
Back
Top Bottom