G Guest321 Member Joined May 16, 2011 Posts 20 Reaction score 15 Nov 18, 2011 #1 Wana JF, tafadhali naomba ushauri kwa wale wenye na Toyota Corona Premio (1.8L engine). Ningependa kujua upatikanaji wa spea zake kwa bongo, utumiaji wa mafuta, uimara wake barabarani, n.k. Nawashukuru.
Wana JF, tafadhali naomba ushauri kwa wale wenye na Toyota Corona Premio (1.8L engine). Ningependa kujua upatikanaji wa spea zake kwa bongo, utumiaji wa mafuta, uimara wake barabarani, n.k. Nawashukuru.