M My Mud Senior Member Joined Oct 5, 2012 Posts 108 Reaction score 17 Jul 16, 2016 #21 MtuMmoja said: Uwezo wako wa kusoma PGM au PCB ni mdogo,jaribu kombi nyingine brooo,tumepita hukoo!!!Msitu wa Physics ya Advance Si Mchezo Click to expand... sikweli kama mtu akifeli phz au math olevel inamaana anauwezo mdogo!yapo mambo mengi yanayo changia mwfnz kutokufanya vizuri ikiwemo uhaba wa walimu wa masomo husika na miundoombinu mbalimbali.
MtuMmoja said: Uwezo wako wa kusoma PGM au PCB ni mdogo,jaribu kombi nyingine brooo,tumepita hukoo!!!Msitu wa Physics ya Advance Si Mchezo Click to expand... sikweli kama mtu akifeli phz au math olevel inamaana anauwezo mdogo!yapo mambo mengi yanayo changia mwfnz kutokufanya vizuri ikiwemo uhaba wa walimu wa masomo husika na miundoombinu mbalimbali.