ahsante mwana..nimemuuliza ameniambia hajafanya chochote kuhusiana na hiloUtakuwa umefaulu hlo somo ila kumbuka D siyo credit pass bali ni pass ya kawaida ila C ndo credit pass so muulize fresh hyo swahiba ili nawe ufanye kama yeye alivyo fanya kama anamjomba wake au nani wake huko baraza mwabie hiii ndo tanzania yetu bana
poa man,ila ameniambia hajafanya lolote kuhusiana na hiloDah hyo noma arifu muulize katumia janja gani huyo rafiki yako ili nawe utumie maana PCB ina hyo grade ni noma chali anguuu
Ninachukua combination ya PGM, na pass marks zake nilipata ni DCD na mimi nataka kubadilisha coz wamenipangia HGL kwa pass mark ya CCB, nimetuma maombi ya kubadilisha comby mkoani na sasa hivi nasubiria jibu kama watakuwa wamenikubalia ili nihamie PGM. kuna friend wangu alikuwa anachukua PCB,yeye alipita kwa pass marks ya DDB- na amechaguliwa combination hiyo ya PCB,kwa mtazamo wako,unaona watanikubalia au laa?
Note:walisema ukipata D kwenye somo lolote umefaulu hilo somo.
Kwa nini unataka kubadili kombi?
Uwezo wako wa kusoma PGM au PCB ni mdogo,jaribu kombi nyingine brooo,tumepita hukoo!!!Msitu wa Physics ya Advance Si Mchezo
Uwezo wako wa kusoma PGM au PCB ni mdogo,jaribu kombi nyingine brooo,tumepita hukoo!!!Msitu wa Physics ya Advance Si Mchezo
coz ndoto yangu ipo PGM..
Good, Then go for it!! Miluzi mingi hupoteza mbwa..mi nadhani hii ndio ilikua sababu ya msingi wewe kuenda huko... ugumu upo( hata huko art) kila sehem, chakufanya nenda kaongee nao kama wakikubali (na hata wakikataa kombi yeyote utayoenda zingatia haya) then weka nia na uanze kusoma na usipende skiza sana maneno ya wakatiaha tamaa...kila la heri..