Jamii forum jamvi la great thinkers Naomba kushauriwa
Nataka kununua gari ya kutembelea isiyozidi M 6 Ila isiwe vitz,passo,.
Ushauri mwingine naomba kujua kuagiza gari used Japan na kununua hapo tz wapi gharama inapungua na je gari ya m 3 kutoka Japan naweza kuitoa bandarini kwa bei gani