Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Nitashukuru sana mkuuSafi. Ni vyema kuwa na hiyo kitu.
Mimi nina stabilizer 1 ya w500 ninayo inapiga kaz poa sana. Na umeme huwa unashuka hadi v110 lkn inaboost hadi 220.
Siikumbuki jina ngoja nifike home nikutumie picha
tokea 2016 mjomba haujatuma picha aaah aaahSafi. Ni vyema kuwa na hiyo kitu.
Mimi nina stabilizer 1 ya w500 ninayo inapiga kaz poa sana. Na umeme huwa unashuka hadi v110 lkn inaboost hadi 220.
Siikumbuki jina ngoja nifike home nikutumie picha
tokea 2016 mjomba haujatuma picha aaah aaah
Hajafika nyumbani bado alisema akifika atatuma picha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaaa tangu 2016 hajarud
Duuuuu we utakuwa mfukua makaburi we..... Hahahaha.tokea 2016 mjomba haujatuma picha aaah aaah
Wakuu habari zenu
Naomba kushauriwa kuhusu aina (brand)nzuri ya stabilizer (automatic voltage regulator) kwa ajili ya friji langu, friji langu limekua likizima umeme unapopungua nikadokezwa kununua stabilizer ila sikuambiwa aina (brand) nzuri kwa ajili ya kazi hiyo.
Endapo kuna fundi stabilizer/friji yupo Tanga tuwasiliane
Natanguliza shukrani