Naomba ushauri na connection ya kazi

Naomba ushauri na connection ya kazi

Joh Mascots

Member
Joined
Feb 19, 2023
Posts
6
Reaction score
9
Habari wakuu,

Mimi nina umri miaka 24 elimu yangu ni kidato cha nne nilipata division 2 nina basic Technician Certificate in Computer science hivo naomba mweny kibarua tusaidiane kuinuana kazi yoyote nipo dar gongo la mboto asante natanguliza shukrani.
 
Dogo kwanini hukwenda advance??
nilikwenda bro tena nilichaguliwa PGM but ile nakaribia kuingia six nilipata majanga nkaumwa nilikaa nje almost mwaka na mpaka kupona hali aikua nzuri nilishauriwa kutosoma vitu vikubwa kama hvo vinavyohtaji kutumia akili sana hvo nlikaa tena miezi sita kurud kama awali ndo apo ikabid nsikpuuzie nkajikusanya nkasoma iyo basic Technician Certificate ya information Technology ila ada ikakata sikuendelea kumaliza diploma thats where i am now natafuta kazi yoyote nijikimu kimaisha mambo yakiwa sawa ata baadae ntarud shule nimalize diploma ndo hvo kwa ufupi
 
Veta kunakipindi wanatoa mafunzo bure,kwa kushilikiana na wafadhili embu jaribu kuwa karibu na page yao sikumbuki vigezo Ila form 4 unakuwepo
najitegemea mwenyw kaka hvo bila kibarua ata veta sitopata ya kulipa ada ndugu yangu
 
Habari wakuu,

Mimi nina umri miaka 24 elimu yangu ni kidato cha nne nilipata division 2 nina basic Technician Certificate in Computer science hivo naomba mweny kibarua tusaidiane kuinuana kazi yoyote nipo dar gongo la mboto asante natanguliza shukrani.
Weka namba nikupigie
 
nilikwenda bro tena nilichaguliwa PGM but ile nakaribia kuingia six nilipata majanga nkaumwa nilikaa nje almost mwaka na mpaka kupona hali aikua nzuri nilishauriwa kutosoma vitu vikubwa kama hvo vinavyohtaji kutumia akili sana hvo nlikaa tena miezi sita kurud kama awali ndo apo ikabid nsikpuuzie nkajikusanya nkasoma iyo basic Technician Certificate ya information Technology ila ada ikakata sikuendelea kumaliza diploma thats where i am now natafuta kazi yoyote nijikimu kimaisha mambo yakiwa sawa ata baadae ntarud shule nimalize diploma ndo hvo kwa ufupi
Sema computer pia ni dude zito kuliko hata hiyo PGM yenyewe!
Ukifamikiwa kufika hadi ngazi ya shahada utasadiki maneno yangu!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
nilikwenda bro tena nilichaguliwa PGM but ile nakaribia kuingia six nilipata majanga nkaumwa nilikaa nje almost mwaka na mpaka kupona hali aikua nzuri nilishauriwa kutosoma vitu vikubwa kama hvo vinavyohtaji kutumia akili sana hvo nlikaa tena miezi sita kurud kama awali ndo apo ikabid nsikpuuzie nkajikusanya nkasoma iyo basic Technician Certificate ya information Technology ila ada ikakata sikuendelea kumaliza diploma thats where i am now natafuta kazi yoyote nijikimu kimaisha mambo yakiwa sawa ata baadae ntarud shule nimalize diploma ndo hvo kwa ufupi
Contact yako Mzee mbona hamna ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom