Naomba ushauri, Mpenzi wangu hapokei simu


Easy does it, man. Just looking out for shortie.
 
Tafuta kazi kwanza...
 
Kama hapokei simu bas simu yake itakuwa haina kitufe cha kupokelea
 
Ni incompatible hamwezi kwenda sawa,yeye kwanza ni mwalimu wa sekondari wakati wewe ni wa kijiweni na pia shule hujaenda kwa sababu hata kule kuandika tu kiswahili fasaha huwezi,kiswahili ulichoandika humu utafikiri Kizaramo.Unamtia aibu mwenzako ndio maana amekushitukia, tafafuta wa tabaka lako.
 
futa hiyo namba yake bro ..
 
1 Huna Kazi
2 Unademu Nzuri
3 Ana Kazi
4 Amekuzidi Status

Wanawake Wameshtuka siku hizi hawataki wanaume Suruali
 
Daaah! Ufukara mbaya sana, nakuonea huruma mdogo wangu.

Bila hela watoto wazuri utaishia kuwaona tu.
 
Pole, nami nipe namba yake nijaribu kumpigia, kama akipokea ujue amukususa (in shot hakutaki)
 
Tupe namba tuone maana sisi wazee tukipiga simu tunatuma na tigopesa lazma apokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…