Naomba ushauri, Mpenzi wangu hapokei simu

Kama haeleweki achana nae fanya mengine mtakutana mbele ya safari
 
Wewe ni hasara kwako na familia yako, huna kazi unawaza starehe?

Pambafu kabisa, wenzako wanaojitambuwa wanaitumia JF kutafuta ajira na wanapata wewe unawaza zinaa na pesa huna mwishowe utakutana na mabasha wakuinamishe ili upate pesa na wewe ya kwenda kuhonga.
 
Hata picha huoni? au hauna miwani? Kakubwaga kidhungu
 
Tafuta mwingine tu baba demu anakuona ww mzigo huna pesa
 
How come wanawake hawakusumbui, ila bado unatumia energy kubwa sana kutuaminisha? Kila wakitajwa una machungu hatari, niaje eroo?
Katika kuhangaika na shule, nilikuwa nchi Fulani, basi kuna kaka wa kinigeria jirani yangu aliambia yeye anatoka na wazungu tu kwa majisifu mengi. Kuna siku nilifanikiwa kumuona na girlfriend mzungu, ni wale drug users, wamepinda. Jamani kumbe ndiyo aina ya watu niliokuwa ninasifiwa.
 
Yaaani mkuu nimesoma hadi hapo SINA KAZI ,NIPO TUU MTAA NAKOMAA KIBISHI..

Huko kwingine sitaki hata kujua umeandika nini...jipange mkuu..

Hapa nakumbuka maneno ya vannesa mdee kwenye wimbo wa Mwanaume suruali...

"BAKI NA HAMU ZAKOOO.."

Transcend
 
Kama ni mwalimu wa sayansi kimu na hesabu kamsemee kwa mwajiri wake,

Ila kama ni wa civics muache kwanza upepo upite ni halali akose hamu ya kufanya matusi.
 

Kuna kujisifia tu kama mzee wa yuesiei baby, hiyo kesi ya m-Nigeria ndiyo inaweza kum-fit. Jamaa yetu huyu yeye ana machungu zaidi ya majisifu..
 
Kuna jamaa limeku overtake hapo, angalia ustaarabu mwingine
 
Kuna kujisifia tu kama mzee wa yuesiei baby, hiyo kesi ya m-Nigeria ndiyo inaweza kum-fit. Jamaa yetu huyu yeye ana machungu zaidi ya majisifu..


Mwana umekula MAHARAGWE YA WAPI tena...
Kuwa BANJUA na kuwa TEMA mademu ni misifa ama naelezea maisha yangu HALISI....

Mbona nakuonaga kama MJANJA kimtindo halafu unaniangusha aisee...
BULL SHIIT... This is BULL SHIIT.....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
How come wanawake hawakusumbui, ila bado unatumia energy kubwa sana kutuaminisha? Kila wakitajwa una machungu hatari, niaje eroo?


Chalii mbona unaleta USHAMBA wa kiduwanzi mzee....
Kwani nikijisifia kuwa nawa BANJUA na kuwa GONGA mademu then nawatema nasepa mbele....
Wewe kinacho KUUMA hasa ni kipi... Utadhani nimetangaza kuwa huwa nambanjua dada yako yerooo.... Eeboooo....

BULL SHIIT... This is BULL SHIIT..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Ukiona manyoya ujue kaliwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…