Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Kwa kujitambulisha,mimi ni mmoja kati ya wanafunzi walofukuzwa pale Udom.
Ninapo andika Uzi huu hadi sasa ni mwezi moja na wik kadhaa lakini serikali haijatoa hatima yetu nini,zaidi ya kukaa kimya.Hii nidhahiri kuwa pamoja na kudhalilishwa ila pia tumesahaulika kwa sababu ya ukimya ulotawala kwa kipindi chote.
Hivyo basi mawazo yenu ndo yatanifumbua macho je,nifanyeje coz nilitaka kwenda advance shule ya private ila gharama ni kubwa likewise NACTE nao wamefunga so up to this moment i don't know where to go.
Plz nakaribisha maoni ya kila mmoja coz yanaweza yakawa chachu ya maamuzi sahihi.