Naomba ushauri, Mama haeleweki

nkoi

Member
Aug 22, 2015
8
0
mm naishi na mama mzaz na wadogo zangu pia watoto kwa cku kazaa maza amekua na tabia ya kuzira kula na kutokuongea na mtu yoyote nikumuliza hasemi nn tatuzo akienda kwa watu anasimulia habari ya nyumbn zote nashindwa nifanyeje naombeni busara zenu jamani
 
Pole sana , kuna kitu ....fanya jitihada tu ya kuongea naye ....kama siyo uzee
 
Fikiria kitu anachopenda mama yako then mnunulie kama zawadi, Halafu taratibu Anza kumdodosa sababu za yeye kususa kula.
 

Hebu Labda Jaribu Kumkalia Kama Hiyo Picha Yako Hapo Ktk AVATAR Tuone Tena Kama Atazira Kula au Kutoongea Chochote Na Wewe.
 

Picha yako inaniambia wewe ndo tatizo!
 

Unaishi Na Mkeo?
 
Cookie, naomba hii iende mmu!
 
Last edited by a moderator:
kwani mama hana kwake?kama ana kwake mfungashie harudi kwake labda kachoka anataka kurudi kwake
 
Itakuwa kuna kitu kinamkera, ila sio big deal. Mpotezee
 

Mtafute Emmanuel Adebayo akusaidie. . (Just a joke) Pamoja na yote nakupa pole. Usumbufu wa mzazi huwa mara nyingi umri ukisogea huwa wanakuwa wasumbufu, lazima umzoee hivyo, maana anahitaji kunyenyekewa sana ndipo anapopata faraja. Huitaji kugombana nae, hata wewe ulipokuwa unakua si'ajabu ulimpa taabu pia na alivumilia na leo hii ni zamu yako. Kuwa mpole huyo ni mama yako hana talaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…