AhsanteKasome procurement
1. Hakuna hata kimoja chenye faida hapa Bongo kwa sasa!!!!Ahsante
Ila ukisoma hyo faida zake n zipi
Nenda veta ukapige fani yoyote utatoka,uko kwenye ualimu,sheria waachie watoto wa makadaNdugu zangu, naomba mtu au watu wenye uelewa mkubwa wa maisha ya masomo wanisaidie kunipatia ushauri wa kielimu
Mtihan wa kidato cha nne nna dv 3 ya 22, masomo mawili nna F, Phy na Maths
Civ nna D na Mengine yaliyobaki nna C
Advance sio chaguo langu
Msaada Tafadhali ndugu zangu
Kutokana na mabadiliko ya kila siku ya mfumo wa elimu nchini ni bora ukasome advance usijejuta baadaeNdugu zangu, naomba mtu au watu wenye uelewa mkubwa wa maisha ya masomo wanisaidie kunipatia ushauri wa kielimu
Mtihan wa kidato cha nne nna dv 3 ya 22, masomo mawili nna F, Phy na Maths
Civ nna D na Mengine yaliyobaki nna C
Advance sio chaguo langu
Msaada Tafadhali ndugu zangu
Ndio maana naomba ushaurimaisha yako mkuu fanya chaguo bora
Hivi hua pana tofauti kubwa iwapo ntaamua kwenda chuo badala ya Advance??Kutokana na mabadiliko ya kila siku ya mfumo wa elimu nchini ni bora ukasome advance usijejuta baadae
Nimeikosa sasa hiyo DMkuu pole sana ila hakuna kitu kinasumbua kama kuwa na fa maths pole sana kiongozi bora ungepata D
Sawa ila huko napo shida tuNenda advance
Bc kaa mtaaniSawa ila huko napo shida tu
Dear God ataniongoza ktk hiliBc kaa mtaani