Nashukuru kwa ushauli mkuuOa tu mkuu maadam umempenda kutoka moyoni wanasemaga ukipenda boga penda na ua lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani hapo mkuu
Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani hapo mkuu
Duu kuna kitu nimeelewa hapaMkuu story yako na yangu zinafanana kabisa aise, Dem alikua na tabia nzuri, haombi hela, mnyenyekevu ila nilipogonga mwamba ni hapo alikua na mtoto
Ushauri wangu hakikisha umeliona kaburi la baba wa mtt wake ndo umuowe ila Kama yupo hai unaowa mke wa mtu hapo, na mwanamke asiwahi kukudanganya et anakupenda kuliko yule Alie zaa nae awali
Sent using GunTrigger