Habari za majukumu wakuu
Nahitaji msaada toka kwenu kwa haya matokeo
History D
Kiswahili D
English C
Geography C
Chemistry D
Civics. C
Physics C
Bios C
B/mathematics D
Je? Kuna kusubiri second selection?
Ingawa Jina langu lipo kwenye second selection na kweny combination nimeandikiwa arts and science
Pia kuna ukweli wowote nikisoma private advance chuo nakosa mkopo ingawa o'level nimesoma grvnt
Au koz gani naweza kusoma ya afya na chuo gani ,pia naweza kuanza na diploma
Msaaada wenu please natanguliza shukrani za dhati kwenu