Naomba ushauri kuhusu Samsung note 3

Naomba ushauri kuhusu Samsung note 3

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Nataka kununua Samsung note 3 naombeni ushauri kwa mliowahi kuitumia.
 
kama ni mpenzi wa samsung basi simu nzuri kwa sasa za samsung ni note 4, s5, ikifuatiwa na note 3 bila shaka. Kama hupendi size kubwa unaweza ukachagua s5 au s4 kulingana na uwezo wako. Kwa kifupi ni simu nzuri tu kwenye upande wa samsung.

Ila mimi binafsi ambaye si mpenzi wa samsung naweza kukushauri uangalie upande mwingine wa lumia 1520, huawei ascend mate 7 kwa simu kubwa, au lumia 930, xperia z3, xperia z2, kutegemeana na uwezo wako.
 
Back
Top Bottom