Naomba ushauri kuhusu mzee wangu

Umeshasema upo vizuri, sasa msaidie mzee wako kabla msongo wa mawazo haujamfanya kichaa. Pesa ni sabun ya roho siku zote, kuwa unampa hata 200 mzee wako.
 
Ukiwa na mda mtafute mkae chini muyajenge. Mwambie akubali matokeo noti imeadimika kwa wengi.Mashule ya gharama kama hana uwezo arudishe vijana st kayumba.
 

POLE SANA
1. SHUKURU MUNGU MAMA WA KAMBO HANA ROHO MBAYA
2. BABA YAKO ANAWAPENDA ILA MAMBO YAKE HAYAKO SAWA NA HAKUNA KATI YA WAKE ZAKE WA KUMLIWAZA
3. MSHUKURU MUNGU MAMA YAKO HAJAWAHI KUKWMBIA KWA NN WALIACHANA NA BABA YAKO
4. KAZANA KUMTUNZA MDOGO WAKO NA MAMA NA BABA YAKO PALE UTAKAPO WEZA
5. MTAFUTE BABA YAKO MUONANE USO KWA USO NI MTU MUHIMU SANA KWAKO KAMA KIJANA WA KIUME
 
Huyo ndiyo mwanafunzi wa chuo kikuu wa Tanzania 2018.

Ni aibu.

HATUJIFUNZI CHUO KIKUU SOMO LA UANDISHI WA HABARI KUNA KADA NYINGI KUWA NA MAWAZO NA KUANDIKA ANDIKO LINAHITAJI UNARIRI SO LONG AS INASOMEKA BASI UNASAIDIA TU KUSHAURI
 
HATUJIFUNZI CHUO KIKUU SOMO LA UANDISHI WA HABARI KUNA KADA NYINGI KUWA NA MAWAZO NA KUANDIKA ANDIKO LINAHITAJI UNARIRI SO LONG AS INASOMEKA BASI UNASAIDIA TU KUSHAURI
Sikushangai. Nakuhakikishia wewe utamshangaa mwanafunzi wa primary school wa enzi zangu, humpati kwa chochote.
 
Wewe ndio msomi wa chuo kikuu ? Kwa uandishi huo ? Hujui matumizi ya vituo? Koma? Unasikitisha Sana

Pole kwa maswahibu, inaonekana mzee ana stress za kuyumba kiuchumi, anaona fedheha kuwatafuta nyie Kama familia na bado hajakaa sawa kiuchumi , mpeni muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukusikia chuo usifikiri kila mtu anatafuta degree...

Wengine kozi za mapish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…