Chris Mungoreme
Member
- Aug 10, 2011
- 72
- 14
Asante sana mkuuMkuu kampuni nzuri tz kwa layers ilikua ni cpf ila hawatoi tena layers' agiza silverland wapo iringa ila watakua na ofice zao hata sehem nyingine intechick usijaribu utalia
Kuku bora agiza kwa Patricia mbeya songweWapendwa!
Natarajia kuanza project ya kuku wa mayai,awali nilishauriwa kuagiza vifaranga Uganda lakini inasemekana kwa sasa Serikali hairuhusu kabisa kuingiza vifaranga kutoka nje.
Hivyo basi naomba mzoefu wa hawa kuku anielekeze ni wapi pa kupata mbegu nzuri ndani ya Tanzania.
Asanteni sana,Mungu aendelee kuwabariki.
Saso Au pure layerMimi Niliagiza Hao Wa Iringa Silverland Ndio Wameanza Kutaga
Naombeni contact za Silverland Tafathali wandugu
hida Ya interchick ni nini mkuu make ndo nimewaingiza kwa sasa baada ya napoko kunipa hasara ya ajabu kuku 1000 walikufa na ndo walikuwa wameanza kudondosha mayaiMkuu kampuni nzuri tz kwa layers ilikua ni cpf ila hawatoi tena layers' agiza silverland wapo iringa ila watakua na ofice zao hata sehem nyingine intechick usijaribu utalia