Kasome PGM halafu upate division 1 point 3 hadi 5.Naombeni ushauri wenu
Mimi ni mwanafunzi nilie malza form four mwaka Jana Nina ufaulu wa 1: 8 huku mkoan Lindi ndoto yangu ni kuwa rubani lakn familia yang hainauwezo uwezo. Naombeni ushauri wenu nifanye nini kwakuwa na maswali mengi sana. Nisome comb gani?
Vigezo gan ili nipate scholarship?
Ufaulu gan unahitajika?
Nani ataenisaidia?
Una mpunga wa kutosha?Naombeni ushauri wenu
Mimi ni mwanafunzi nilie malza form four mwaka Jana Nina ufaulu wa 1: 8 huku mkoan Lindi ndoto yangu ni kuwa rubani lakn familia yang hainauwezo uwezo. Naombeni ushauri wenu nifanye nini kwakuwa na maswali mengi sana. Nisome comb gani?
Vigezo gan ili nipate scholarship?
Ufaulu gan unahitajika?
Nani ataenisaidia?
Aisee.Kuna uzi humu ndani unaelezea haya mambo utapa gharama za coz, muda wa mafunzo, nk ila ada si chini ya m30 kwa miez6 mwenzio nimepiga miez mitatu sikuwa na ada ya kumalizia nikaamua nitafute nafas ya hizi ndege zetu za bongo nakula maisha tu uzur wa ndege hz ziko fasta dar to mwanza second 6 ubaya wa hz ndege hazitoki nje ila ziko fasta sana mfano ile airungo3602 lile dude nishawai kwenda nalo sayar ya mwenz nilitumia kama dakika 9 hivi, karibu sana mdogo wangu
duh ulizia pale shule ya alpha high school mikocheni walianzaga mambo ya aviation au ni mambo ya club nadhani au nenda pale TCAA wakupe mmuongozo mzima.Naombeni ushauri wenu