Naomba ushauri kuhusu Kozi hii inayotolewa na Chuo cha Veta Kipawa

Political stability

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
906
1,396
Wakuu habari!


Nategemea kusoma short ya electrical installation, katika chuo cha veta kipawa... Kwa ngazi ya

Beginner
Intermediate na
Advanced level

Je, kwa packages hizo chini, nitaweza kuendana na soko la kujiajir au kuajiriwa?

Asanteni
Screenshot_20210511-081953.jpg
 
Back
Top Bottom