Pole sana. Hii ni kawaida. Mahesabu ya biashara kwenye daftari na kufanya biashara ni vitu viwili tofauti kabisa. Biashara yoyote, hasa hizi za nchi zetu za kiafrika zina details ndogo ndogo nyingi ambazo bila kuifanya huwezi kujua. Kwa mfano hii ya nyama unaweza kuambiwa ''unaenda machinjioni unanunua kila 100....''. Ule ujuzi tu wa kununua nyama nzuri ni kipengele kimoja.