S sirjohn JF-Expert Member Joined Aug 6, 2014 Posts 767 Reaction score 679 Dec 19, 2015 #1 Nimesoma degree ya Computer Science, katika kuhangaika nimepata scholarship ya kufanya Master ya Traffic and Transportation Engineering nchini China. Je, hii kozi ina future hapa kwetu Tanzania. Naombeni ushauri.
Nimesoma degree ya Computer Science, katika kuhangaika nimepata scholarship ya kufanya Master ya Traffic and Transportation Engineering nchini China. Je, hii kozi ina future hapa kwetu Tanzania. Naombeni ushauri.
Ndondocha mkuu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 2,518 Reaction score 3,041 Dec 19, 2015 #2 Ngoja Wanakuja Wataalam,,
JJ Traders Member Joined Dec 3, 2015 Posts 34 Reaction score 18 Dec 19, 2015 #3 Mim navojua watu wa Traffic wanajiriwa sana kwenye Miji Mikubwa yenye Population sasa Tz mzima miji inayokuwa kwa Kasi zaid ni DSM lakin cha kushangaza Haina Flyovers hata uchwara mim nakushauri ukienda piga hiyo course usirudi huku tafuta kazi nje
Mim navojua watu wa Traffic wanajiriwa sana kwenye Miji Mikubwa yenye Population sasa Tz mzima miji inayokuwa kwa Kasi zaid ni DSM lakin cha kushangaza Haina Flyovers hata uchwara mim nakushauri ukienda piga hiyo course usirudi huku tafuta kazi nje