M MNJONJO 10 New Member Joined May 27, 2022 Posts 2 Reaction score 0 Jun 4, 2022 #1 Wakuu kwema humu? Nina ndugu yangu ana shahada ya Ualimu na anataka kwenda kusoma diploma ya quality Assurer, je ina faida gani Kwa huyu Kijana?
Wakuu kwema humu? Nina ndugu yangu ana shahada ya Ualimu na anataka kwenda kusoma diploma ya quality Assurer, je ina faida gani Kwa huyu Kijana?
Agrey998 JF-Expert Member Joined Jul 8, 2019 Posts 418 Reaction score 554 Jun 7, 2022 #2 Kama ana connection basi hio kitu ina pesa sana haswa akipata kwenye hizi manufacturing industries kama Breweries
Kama ana connection basi hio kitu ina pesa sana haswa akipata kwenye hizi manufacturing industries kama Breweries