Mkuu pole kwa hayo maradhi ya figo kufeli Mimi nitamsaidia mama kwa dawa ya muda ya kumuokoa hayo mafigo kufeli na ukitaka dawa kamiliya kutibu maradhi ya figo ninayo utapona kabisa na kuacha kufanya hiyo dialysisUkihitaji matibabu toka kwangu utanitafuta kwa wakati wako.habari
Kwa majina mm ni robert napatikana manyara kwa sasa.. Shida kubwa na changamoto ninayopitia ni kuwa nina tatizo la figo imekufa kabisa nafanya dialysis nina mwaka na nusu sasa...
Mkuu pole kwa hayo maradhi ya figo kufeli Mimi nitamsaidia mama kwa dawa ya muda ya kumuokoa hayo mafigo kufeli na ukitaka dawa kamiliya kutibu maradhi ya figo ninayo utapona kabisa na kuacha kufanya hiyo dialysisUkihitaji matibabu toka kwangu utanitafuta kwa wakati wako...
Ndevu za Muhindi mmoja kwa glasi 2 za kawaida za maji, na asile kitu chochote asubuhi anywe hiyo dawa yote na baada ya kupita saa moja ndipo anapo weza kula chakula au kitu kingine chochote kile na wakati wa mchana afanye tena dawa mpya na wakati wa usiku afanye tena dawa mpya. Dawa ya Kupona kabisa ipo unitafute kwa wakati wako.MziziMkavu kwanza shukrani kwa elimu na msaada wa dawa kwa ndugu yetu....
MziziMkavu nina shida na namba yako naomba unitumie inboxNdevu za Muhindi mmoja kwa glasi 2 za kawaida za maji, na asile kitu chochote asubuhi anywe hiyo dawa yote na baada ya kupita saa moja ndipo anapo weza kula chakula au kitu kingine chochote kile na wakati wa mchana afanye tena dawa mpya na wakati wa usiku afanye tena dawa mpya. Dawa ya Kupona kabisa ipo unitafute kwa wakati wako.
Mkuu hujaleta mrejesho wako hapa.Shukran za dhati wakuu