Amosi Asanali
Member
- Oct 9, 2012
- 46
- 5
Habari wana jf. Kijana wangu wa miaka minne anasumbuliwa na vipele vidogo vidogo vinatokeza kwenye kwapa na shingoni, tumetumia tube nyingi sana lakini vinatoweka baada ya muda vinarudi tena nilipewa ushauri kuwa ni fungus tukapewa dose ya fungus alitumia yote ikaisha baadae vimerudi tena. Hivi vipere vinakuwa kama vichunusi lakini ni vingi sana kwapani, msaada kwa anayefahamu tiba sahihi. Nawasilisha.