N Nena JF-Expert Member Dec 27, 2015 2,297 892 Apr 25, 2016 #1 Naomba nifahamishwe kama hii siku iko kisheria na endapo mtu hatashiriki itatokea nini? Naomba pia nifahamishwe tarehe 30 April ni maandamano au ni nini? Nimesikia matangazo lakini sielewi!
Naomba nifahamishwe kama hii siku iko kisheria na endapo mtu hatashiriki itatokea nini? Naomba pia nifahamishwe tarehe 30 April ni maandamano au ni nini? Nimesikia matangazo lakini sielewi!