Siyo mtaalamu sana wa Mambo haya ila kuna wakati mabank yana rates mbili tofauti! Kuna rate inayotumika kubadilisha fedha chache na nyingine wanatumia kubadilishia pesa nyingi!Kuna hili suala la currency exchange hua linanichanganya
Mfano, uki google Currency exchange online such as 1 MK (Malawi kwacha) to Tsh 1.7 hivi
Nimejaribu kutuma Tsh 1000 kwenda Airtel Malawi nikaambiwa ntapata Mk 679 hivi
Ila sasa ukiwa Border au ukimtumia pesa wakala alie mpakani kati ya TZ na Malawi
Mfano ukimpa Tsh 20000 anakupa Kwacha 26600
Inakuaje kunakua na tofauti...?
Mkuu kwacha kwanza kwa saiv ina thaman kubwa kuliko pesa yetu...Kuna hili suala la currency exchange hua linanichanganya
Mfano, uki google Currency exchange online such as 1 MK (Malawi kwacha) to Tsh 1.7 hivi
Nimejaribu kutuma Tsh 1000 kwenda Airtel Malawi nikaambiwa ntapata Mk 679 hivi
Ila sasa ukiwa Border au ukimtumia pesa wakala alie mpakani kati ya TZ na Malawi
Mfano ukimpa Tsh 20000 anakupa Kwacha 26600
Inakuaje kunakua na tofauti...?
Uki google mtandaon ndio ina thamani ila ukienda mpakani hela yetu ndio inamathamaniMkuu kwacha kwanza kwa saiv ina thaman kubwa kuliko pesa yetu...
Lazima ujifunze foreign exchange inafanya kazi vipi..