specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 619
poa mkuu,niambie maisha yapoje huko?gharama yakupanga nyumba ya chumba 1 na sebule-self contained sehemu nzuri ni kama shilingi ngapi?Shwari kabisa utapenda na hutatamani kuhama tena. Karibu sana katavi
ona bas aibu...safar ya siku 3 ya kutoka katavi??kama unaenda arusha kuna bas la moja kwa moja coastline..kama unaenda mwanza kuna as la 1 kwa 1 a.m na ni safar ya siku 1Kwa kawaida sana,kama unataka kusafir mfano kwenda Arusha,dar,dom,jiandae kusafir cku 3,taasis za elimu ya juu sahau maana hata inayotoa dipl hamna,huduma ya afya mmmh!ipo kama sehem nyingne za tz hasa halmashaur,maisha always yanafanana tz kasoro,ila huwez fananisha na wilaya au sehem za kilimanjaro au hata mbeya sehem baadhi.kifupi uwe mvumilivu.
duuuh! kaka naomba nikupm....tuongee privateRent per room 1 haizid 5000 to 10,000 so room mbili inaeza kwenda mpaka 10,000 mpaka 15,000 kutegemea na hadhi ya nyumba kiufupi maisha Ni rahisi sana na hasa vyakula
nimeshaku pm nduguKaribu sana
kwanini mkuu?Uende na mkeo kabisa vinginevyo unaoa mwingine huko.
kwanini mkuu?
Hivi Katavi si wale nyoka Koboko wapo?
Uwiiiii hata iweje siendi huko!
Rent per room 1 haizid 5000 to 10,000 so room mbili inaeza kwenda mpaka 10,000 mpaka 15,000 kutegemea na hadhi ya nyumba kiufupi maisha Ni rahisi sana na hasa vyakula