D David kulwa Member Joined Sep 18, 2016 Posts 29 Reaction score 2 Oct 3, 2016 #1 Wakuu mwenye namba unayotumika na loan board anitumie maana kwenye website yao cjaiona
Julius Husseni JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 1,435 Reaction score 1,195 Oct 3, 2016 #2 We ya nini waendee uko uko
babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,644 Reaction score 3,327 Oct 3, 2016 #3 Ni vema ukaenda maana wale wajamaa hawapokeagi simu
Najaf JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 1,545 Reaction score 2,546 Oct 3, 2016 #4 nenda huko huko,,,,,,hususani kama unajua umuhimu wa hela katika ardhi ya magufuli