Kiukweli siku haikuwa mbaya, na nikiwa pale sebleni watoto wetu wote sita walikuwa wenye furaha na amani tele, na hasa yule mkubwa wa kiume alikuwa akitaniana na mama yake kwa upendo wa hapa na pale.
Nahisi sometimes walikuwa wakinitete na kwapamoja wakicheka kwa mbaali huku wakifurahia na kugongesha mikono.
Mzee nilikausha na kujifanya sioni, kisha nikainuka kwenda chimbani ili niwapishe wafurahie maisha....
Ngoja nichaji sim kisha nitakuja kuendelea....
Ila Dah....
Wanaume wenzangu, kuweni makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine daaa nikumwachia Mungu tu,Nawe ni moja kati ya Wale mababa walioshindwa kutengeneza urafiki na watoto zao?
Nawe ni moja kati ya Wale mababa walioshindwa kutengeneza urafiki na watoto zao?
Wamama sio watu wazuri hata kidogo. Utasikia ngoja aje baba yako... Anawatengenezea watoto fear ili mwisho wa siku yeye awe mwema milele..
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani sana wakuu, naomba niishie hapa kwasababu nilitoa udhuru na nikawaeleza wazi kwamba natia sim kwenye moto, lakini bahati mbaya sana tayari msha tengeneza mwisho wa simulizi....Mambo mengine daaa nikumwachia Mungu tu,
Hadi mtu unahisi kama ndo usha andikiwa hivo tangu tumboni.
BABA ATASHINDANA NA MTOTO, NA HAWATA ELEWANA.
Sisi tulikua tunapiga story tu za hapa na pale,Samahani sana wakuu, naomba niishie hapa kwasababu nilitoa udhuru na nikawaeleza wazi kwamba natia sim kwenye moto, lakini bahati mbaya sana tayari msha tengeneza mwisho wa simulizi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatengeneza urafiki na mtoto ili upate nini?Nawe ni moja kati ya Wale mababa walioshindwa kutengeneza urafiki na watoto zao?