Naomba niwe mfano, na mjifunze kupitia hili lililo nitokea

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
36,767
83,904
Kiukweli siku haikuwa mbaya, na nikiwa pale sebleni watoto wetu wote sita walikuwa wenye furaha na amani tele, na hasa yule mkubwa wa kiume alikuwa akitaniana na mama yake kwa upendo wa hapa na pale.
Nahisi sometimes walikuwa wakinitete na kwapamoja wakicheka kwa mbaali huku wakifurahia na kugongesha mikono.
Mzee nilikausha na kujifanya sioni, kisha nikainuka kwenda chimbani ili niwapishe wafurahie maisha....

Ngoja nichaji sim kisha nitakuja kuendelea....
Ila Dah....
Wanaume wenzangu, kuweni makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko sebleni tunakusubri ujaze simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamama sio watu wazuri hata kidogo. Utasikia ngoja aje baba yako... Anawatengenezea watoto fear ili mwisho wa siku yeye awe mwema milele..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawe ni moja kati ya Wale mababa walioshindwa kutengeneza urafiki na watoto zao?
Mambo mengine daaa nikumwachia Mungu tu,

Hadi mtu unahisi kama ndo usha andikiwa hivo tangu tumboni.
BABA ATASHINDANA NA MTOTO, NA HAWATA ELEWANA.
 
Wale baba ambao wakiwepo nyumban watoto hawana amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamama sio watu wazuri hata kidogo. Utasikia ngoja aje baba yako... Anawatengenezea watoto fear ili mwisho wa siku yeye awe mwema milele..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine daaa nikumwachia Mungu tu,

Hadi mtu unahisi kama ndo usha andikiwa hivo tangu tumboni.
BABA ATASHINDANA NA MTOTO, NA HAWATA ELEWANA.
Samahani sana wakuu, naomba niishie hapa kwasababu nilitoa udhuru na nikawaeleza wazi kwamba natia sim kwenye moto, lakini bahati mbaya sana tayari msha tengeneza mwisho wa simulizi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani sana wakuu, naomba niishie hapa kwasababu nilitoa udhuru na nikawaeleza wazi kwamba natia sim kwenye moto, lakini bahati mbaya sana tayari msha tengeneza mwisho wa simulizi....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tulikua tunapiga story tu za hapa na pale,

Ili kwamba ukirudi, tujue, utukute macho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom